Nature akiwa amelewa chakari am-diss Harmorapa, adai hana hela ya kumlipa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii huyo aliulizwa kuhusu kulipwa na Harmorapa kufanya kolabo na kununuliwa nguo za kufanya video, alidai huo ni uwongo na msanii huyo hana hela ya kumlipa yeye, ana sema alimsaidia tu kwa kuwa ni msanii mkali

 
amedis wapi wakati kaeleza ukweli, nyie ndo huwa mnatunga mabifu yasiyo na misingi
 
Wivu tu unamsumbua, aendelee kutembea na historia yake tu Hamo huyoooo anazidi kuingiza hela now ni balozi wa kinywaji.
 
Watanzania tuache kupandikiza bifu za kijinga........................
 
[HASHTAG]#Harmorapa4OSCARSawards[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Harmorapa4BETawards2017[/HASHTAG]
 
Hawa wana khabari wetu ni mtihani hivi unawezaje kumuhoji mtu yupo katika hali hii kisha unarusha hewani!
 
Acha unafiki we [HASHTAG]#TeamBashite[/HASHTAG].

[HASHTAG]#HarmoRapa4MtvAward2017[/HASHTAG].
 
Ni wakati sasa harmorapa kumshirikia dudubaya aka mamba aka oil chafu
 
Hahajaaa Juma yupoo bwiiiiiiiii...anasema....anahela ya kunilipa mm unanvyoniona! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…