Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Sorry jf imefunguliwa? Ndiyo sasa hivi naipata kwwenye simuYanayotokea nchi hii kwa sasa sio kwa bahati mbaya, bali ni kazi ya Nature ili jambo fulani litimie.
Mpaka sasa hata wale vipofu wameshajua na kuelewa kuwa hali sio shwari tena.
Muda utasema.
Mkuu umegoma kabisa kutumia akili? Wewe umeingiaje humu? Kama umeingia bila vpn basi jibu unalo na kama umeingia kwa vpn napo pia jibu unaloSorry jf imefunguliwa?
Hali ni shwari, wasiwasi wako tu!Yanayotokea nchi hii kwa sasa sio kwa bahati mbaya, bali ni kazi ya Nature ili jambo fulani litimie.
Mpaka sasa hata wale vipofu wameshajua na kuelewa kuwa hali sio shwari tena.
Muda utasema.
Fala mkubwa wewe.Yanayotokea nchi hii kwa sasa sio kwa bahati mbaya, bali ni kazi ya Nature ili jambo fulani litimie.
Mpaka sasa hata wale vipofu wameshajua na kuelewa kuwa hali sio shwari tena.
Muda utasema.
Hivi viapo vyako vya jf ndo vizuie uchaguziHakuna uchaguzi mwaka huu hakuna uchaguzi
Naapa hakuna uchaguzi
😅😅Hivi viapo vyako vya jf ndo vizuie uchaguzi
Kwa haya yanayoendelea Kuna haja ya kusubiri terehe 29 kweli?Bila wewe na mimi na yule kujitokeza 29, usifikiri hayo yatatokea. Ila kama utakaa nyumbani ukitegemea wengine wakukombolee nchi itakula kwako.
🤣🤣Hivi viapo vyako vya jf ndo vizuie uchaguzi
Hicho mlichopanga kukifanya trh 29/10 anza kukifanya ww sasa hivi! Sawa ehKwa haya yanayoendelea Kuna haja ya kusubiri terehe 29 kweli?
kwa vpn au?Sorry jf imefunguliwa? Ndiyo sasa hivi naipata kwwenye simu
Mkuu humu kuna vituko anavyoapa humu utadhani yeye ni Mkunda au mombo. Kumbe ujeuri wa bando na vpn tu
Samia The Killer na majambazi wake wana IQ ndogo sana. Kama ni kuua wameshaua sana, lakini ndiyo kwanza wanazidi kupingwa kila uchao. Kwa kifupi, hawa mazafakas wanatwanga maji kwenye kinu!Yanayotokea nchi hii kwa sasa sio kwa bahati mbaya, bali ni kazi ya Nature ili jambo fulani litimie.
Mpaka sasa hata wale vipofu wameshajua na kuelewa kuwa hali sio shwari tena.
Muda utasema.
Yeskwa vpn au?