Nature preserved! Only for nature lovers

Somewhere Iringa. Nilikuwa shamba ghafla nikaona mbele yangu upinde umedondoka chini. Nikaanza kukimbia kuusogelea. Ndani ya dk 3 nilivyokuwa nausogelea ndivyo ulivyokuwa unazidi kupotea. Ikabidi nipige picha haraka sana. Ndo km ulivyoona.
 
[emoji2] upinde uko kwenye visible air huwezi kuuona kwa karibu bali kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…