Familia moja ikipiga picha mbele ya mti wa Sequoia wenye umri wa miaka 1,341 unaoitwa "Mark Twain" ambao ulikatwa mnamo 1892 baada ya timu ya wanaume wawili kutumia siku 13 kuukata Kaskazini Magharibi mwa Pasifiki. Mti huo mkubwa ulikuwa na urefu wa futi 331 (mita 100).
View attachment 2478181