Nature preserved! Only for nature lovers

Bado hatujajua maana..! Tulikata miti milion 2 ili tujenge bwawa la kufua umeme wa maji.. Imagine miti 2,000,000
Maendeleo yana gharama. Ili wazungu waendelee walibeba watumwa Babu zako zaidi ya milioni 20
 
Bado hatujajua maana..! Tulikata miti milion 2 ili tujenge bwawa la kufua umeme wa maji.. Imagine miti 2,000,000
Stori ya kubumba, hakuna miti 2mil iliyokatwa kama umefika site na kupata uhalisia kabla na baada ila kama hujafika bora kukeep quite although tunaoelewa tunafahamu hii scenerio.

Tuepuke kuendeleza chuki for wrong evidence!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…