Ktk vikao vyenu vya Ukoo/Kijiji. Ongeeni masuala ya Mabadiliko ya Tabia Nchi.Maendeleo ya ujenzi ya makazi vijijini ni lazima yaratibiwe ili yaende samba samba na utunzaji mazingira,ni suala kubwa hili,likikosa uadilifu wa fikra fahari ya Mlima Kilimanjaro itakufa.