Nauachaje huu mchepuko?

Yaani mtoto wa watu umekaa naye miaka minne mmejenga na nyumba mbili na kununua gari, huku kwenye biashara mpaka alikopa na hela halafu unataka umtoe mikono mitupu? Haki ya nani Kalumanzira atakuhusu! Wacha nikuimbie ina advance, parapanda litalia parapandaaaa! Wewe jamaa ni mwanaume mpumbavuuu!
 
Dah nimeumia knoma aisee, ww jamaa em kuwa na huruma dah.
Wanaume sometimes tunazingua sana aisee
 
Gharama za zinaa hizi ...
 
Baada ya miaka minne ndiyo unakumbuka mkeo anaweza kuchepuka!

Unataka kumdhulumu mwenzio mali ambazo mlivuna pamoja!

Ni chai? Anyways the law of karma: what goes around, comes around.
Chickens come home to roost.
 
Kama unatambua mchango wake kwenye vitu mnavyomiliki, kwanini wataka kumdhulum?
 
Kuna wanawake wanapitishwa kwenye mapito makubwa mno... Moyo wa mtu ni kiza kinene sana
 
Tuwekee hicho kifungu cha sheria
Tatizo mnakaririshwa huko mtaan

Hizi ni professional zetu tuachie
Hakuna kifungu kama hicho
 
Kwa bahati mbaya zaidi unahofia mkeo kuwa asichepuke nje kama wewe ilihali umevunja agano lenu mkeo sio kisiwa kuwa amejitenga na watu, lakini kumuacha huyo dada kuna uwezekano wa wewe kupoteza mali ulizotafuta pamoja nae.
Braza amka kumekucha
 
Wanaume tuna kazi sana !
Mpaka tutakapoirudia ardhi hamna rangi ambayo hatutaacha ona!
Hizo kazi au majukumu mtu anatafuta mwenyewe
Hakuna aliyemlazimisha kuishi na huyo mwanamke ni tamaa zake mwenyewe
Apambane na hali yake
 
Natafakari ushauri wa kukupa
 
AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA,
 

Dawa zishaisha nguvu ndiyo akili inarudi.
 
Katubu ukimuachs hizo mali mpe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…