Nauchukia Mwili wangu: Naombeni Msaada.

Status
Not open for further replies.
Dunia hii inamambo wengine wanapunguza mwili wengine wanataka mwili dah basi vurugu tu
 
ok,
but
ni
aina
ya
cm
nnayotumia,ndiomana,unaona
nimeandika,kiwembamba,
nikiandika
kiunene
ndo
hutanielewa
kabisa,coz
nikiacha
space
nahamía
mstari
mwingine.

Kweli wewe wembamba umekukabili. kila neno kwenye mstari wake ili mradi tu wembamba udhihirike! Usijali huo wembamba wako wengine wanautamani hawaupati.
 
[my dia sikushauri kukimbilia maakuli jiangalie una shp gani unaweza ukanenepa ukawa kituko .com hapo ndo utachanganyikiwa zaidi na kujichimbia ndani aliyekuumba anajua uzuri wako uko hapo ulipo mpendwa cheers
 
uwe unazinywa naniliu za shemeji....nakupa mwezi tu , utarudi hapa kutoa shukurani
 

Binti si ulishawahi kwenda dukani ukakuta bidhaa ziko za kila rangi na saizi tofauti? Kama hazipati wateja basi zisingewekwa madukani. Jipende nafsi yako na uiringie kabisa kwani wateja wapo na usishangae kuwa Madam X akawa anakuona umefaidi kwa huo wembamba.
 


Khaaaa....... Smile jamaniiiiii.
 

Hahahah lol,nina wac2 we mganga wa kienyeji au Dr uliekwenye mgomo.
 
napenda mademu wembamba, sio mpaka uwe mnene
 
Tafuta mume uolewe kisha omba ujifungue baada ya miezi 6 watu watakusahau..

nikimtafuta
uyo,mume
kwaajili,ya
kunenepa,iyo
ndoa,itakua,ndoano,bora
anitafute
mwenyewe
best.
 
usiogope hakuna mwembamba duniani kuna mrefu na mfupi tu usiwaze sn siku itafika utananenepa.
 
Lis hii mada ungeipeleka jukwaa la jf doctor',hapa unachorwa tu.
 
Una tatizo lakuto jiamini.
 

Hizo gharama si inabidi awe karibu na fisadi mmoja ili amfadhili?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…