Nauchukia Mwili wangu: Naombeni Msaada.

Status
Not open for further replies.
Lis, i love you the way you are
 
ikiwa huumwi basi usitumie chochote kuongeza unene. wakati wa kuwa mnene utafika na utaongezeka. pia usijiumize kichwa eti hupendezi. kupendeza kwako ni kutoka watu wanavyokuona. uwe na furaha, wapo wanao kuona unapendeza ila wewe hujui. furahi, kwa maana wenzio wanatafuta kuondoa unene kwasababu ya matatizo ya unene
 

thanxs,kwa
ushauri
mzuri,ntaufanyia
kazí.
 
Back to basics....

  • Nenda kapime minyoo au simply kunywa dawa za minyoo...
  • tumia food supplements ambazo ni maalum kwa kuongeza uzito
  • kula vyakula vyenye protein na fat (kuwa makini usitumie unheathy fatty food ambazo zaweza leta madhara kiafya)
  • Kula milo mitatu mizito na midogo midogo miepesi kama snacks miwil kwa siku...kula vitafunwa visikauke kwenye meza yako kama chocolate, crackers, crisp etc.....
  • fanya mazoezi/shughuli zenye kuongeza apetite (mazoezi madogo madogo ambayo yatasaidia kubuild shape ukiwa kibonge na pia yanaongeza metabolism mwilini)....
  • Pia tumia vitu kama peanut butter/korosho/ + othe nuts.....
  • supu/mtori asubuhi kwa wingi....
  • vegetables- haswa zenye stachi kama viazi, karoti, peas n.kk
  • Katika mapishi yako weka mafuta mengi, hakikisha unatumia mafuta yasio na madhara kama olive, palm oil etc
  • Matunda- Kula matunda yenye ujazo zaidi kama ndizi, nanasi, peasi, apples.....na sio yale ya majimaji kama chungwa, tikiti n.k

Otherwise tafuta pesa ukiwa nayo utaongezeka tu...!
 


sichapi lapa wala nini tutabanana hapahapa Mbimbinho. kuridhika ni namna kubwa sana ya kugain wait.ondoa mawazo na ujikubali then hutajiona hivyo unavyojiona.
 
Last edited by a moderator:
sichapi lapa wala nini tutabanana hapahapa Mbimbinho. kuridhika ni namna kubwa sana ya kugain wait.ondoa mawazo na ujikubali then hutajiona hivyo unavyojiona.

Hahahaha., duh! mkuu acha ubishi asee, muache dada wa watu aongeze tunyama bana..!
 
kumbe unene dili cku hizi eeh?maana hata wakaka wanatoa category ya kutaka watu wanene..Kula mlo mzuri,punguza stress,utakuja 2 mwili.
 

Kula portion ndogo ndogo za msosi hata mara tano au sita kwa siku (kama utaweza) kila baada ya masaa matatu au manne, hakikisha saa zote umeshiba na hukosi hata mlo mmoja katika milo hiyo mitano au sita kwa siku baada ya wiki tatu au nne utaanza kuongezeka.
 
Hahahaha., duh! mkuu acha ubishi asee, muache dada wa watu aongeze tunyama bana..!

sijamnyima kuongeza.ila mara nyingi inaanzia kwenye akili kwanza then the rest of the body responds.
 

we mama utamuuwa mwenzako!khaa!asubuisubui maharage bakuli 2?unamtafutia ugomvi na wenzake ofisini
 
I feel you mtoa mada,asikwambie mtu wembamba ukizidi sana yaani ule wa ukaukau kwa kweli hAta ngozi inakosa mvuto na nguo hazipendezi.mwanamke ukivaa nguo inavutia japo vihips na wowowo viwakilishe sio juu hadi chini umenyooka ka rula.

Mimi nakupa menu ambayo kila mbongo anaweza afford na hii ukiifatisha lazima mwili uongezeke lkn haiko vizuri kiafya.


Asubuhi kula vitumbua 4 au zaid ka unaweza,mchana kula chips za kipimo Cha watu wawili,jioni kula chakula chochote ila kula zaid ya unavyokulaga.Kama unamudu leasing kunywa coca Kama 3 hivi bila kusahau vitu vya uroho uroho Kama karanga,vibajia visambusa and alike.mwanzoni utapata shida kula mlo mkubwa zaidi ya ulivozoea
ila ukijilazimisha kwa wiki utumbo utapanuka na utakua unakula sana.ukila hivi kwa miezi 2 lazima vibastola vijitokeze.pia usisahau matunda na mboga mboga.
 
Are you serious?someone is asking for help.your joking,you mutanzania what are you doing?it seems your lookin like sister chimp.be serious please and if you were my wife,i sware, i would slap on cheek.
you are intoxicated into exuberance of your own verbosifyed circumlocation....................
 
Pole kwanza kwa kutojiamini dada yangu.yote ni kazi ya uumbaji wala sio kosa lako kwa hiyo jiamini.pili kuwa mvumilivu na hali uliyonayo.tatu,jikubali katika hilo na ujione kuwa mwenye furaha na amani.nne,ulisha fikiria ingekuwaje kama ungekuwa mnene kupindukia?je,napo ungejilaumu?kwa hiyo mungu kakuumba hivyo ana makusudi yake yamkini wanao watakuwa hivyo upendavyo ua hata wanamitindo ili wawe na manufaa zaidi kwako na hata maisha yao pia.yangu ni hayo sijui kama nimejaribu kukushauri?
 
Pole kwanza kwa kutojiamini dada yangu.yote ni kazi ya uumbaji wala sio kosa lako kwa hiyo jiamini.pili kuwa mvumilivu na hali uliyonayo.tatu,jikubali katika hilo na ujione kuwa mwenye furaha na amani.nne,ulisha fikiria ingekuwaje kama ungekuwa mnene kupindukia?je,napo ungejilaumu?kwa hiyo mungu kakuumba hivyo ana makusudi yake yamkini wanao watakuwa hivyo upendavyo ua hata wanamitindo ili wawe na manufaa zaidi kwako na hata maisha yao pia.yangu ni hayo sijui kama nimejaribu kukushauri?
 
Jamani Lis wembamba ni deal siku hizi,
Acha kuwaza sana kuhusu huo wembamba utazidi kukonda siunafahamu mambo ya positive feedback.
(hapo nilipo bold ni kwa wale wanao fahamu bios kidogo),
Kamwone nutritionist pia punguza kufanya kazi kaa na marafiki halafu dont be so critical just relax
 

hapo ulipo unastress za kuongeza mwili so hauwezi kuja,relax,jione tayari una size ile unayoitaka,then furahia the new size hata kabla haijaja,mwili unaanzia ndani yako kabla hatujauona nje,kula vizuri na enjoy chakula chako kila unapokula
 
Lis ckushauri utafute kujinenepesha! Me camin kama ni kwel haupendezi, na kama ni kwel labda tatizo linaweza kuwa ni uchaguzi wa viwalo! Me nakushauri utafute fashionist akupe guide ya kuvaa nguo zinazoendana na mwili wako!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…