Nauchukia Mwili wangu: Naombeni Msaada.

Status
Not open for further replies.
Mi ndio maana nimeshindwa kumshangaa...watu tunafanya mazoezi daily kufukuza unene yeye anaulilia.

Unless kama ana tatizo la eating disorder...huo unene anaotafuta anatafuta matatizo...ni rahisi sana kunenepa ...mziki unakuja pale unapotaka kupungua. Na mbaya zaidi umri ukienda huku mwili umezidi kipimo...ni obvious mtu huwezi kuufanyisha mazoezi tena. Ni kusubiri stroke tu. Ukiwa kijana pigania mwili wa afya kabla mifupa haijakomaa.

Akitaka kujua madhara ya unene aende pale wanapouza mashine kwa mamilioni kadhaa za kufanyisha watu waliopooza mazoezi...wanaopata stroke wengi ni sababu ya obesity. Na kwa sasa naona magonjwa haya yamezidi kuongezeka Tz.

Lis ckushauri utafute kujinenepesha! Me camin kama ni kwel haupendezi, na kama ni kwel labda tatizo linaweza kuwa ni uchaguzi wa viwalo! Me nakushauri utafute fashionist akupe guide ya kuvaa nguo zinazoendana na mwili wako!
 

tukupe mimba utafurahi na mwili utakavyotokelezea
 
Fanya kitaalam.
1. Pima Body Mass Index ujijue kama una uzito mdogo kwa urefu wako au la.
2. Kama una uzito mdogo kwa height yako kula balanced diet lakini ongeza portion size na protein huku unajipima uzito mpaka ufikie kilo unazotakiwa kuwa nazo.
3. Kama una uzito unaotakiwa amua tu kujipenda na kula balanced diet. Unene una madhara mengi kuliko unavyofikiria na kila mwili una namna yake ya kukabiliana na mafuta yaliyozidi. Utaongezeka tu naturally wala using'ang'ane kushindilia misosi.
4. Fanya uchunguzi wa mwili pia isijeikawa una tatizo la absorption au mwili una wageni wanaokula chakula chako (minyoo)!

Achana na maneno ya watu, jijulie namna ya kuvaa na shukuru Mungu ulivyo.
 
lis,una mpenzi?maana huyo ndo wakwanza kukutanua nyonga then ukizaa tu balaa utajikataa!
 
ok,
but
ni
aina
ya
cm
nnayotumia,ndiomana,unaona
nimeandika,kiwembamba,
nikiandika
kiunene
ndo
hutanielewa
kabisa,coz
nikiacha
space
nahamía
mstari
mwingine.

duh napita tu,jaribu kurekebisha maandishi angalau yenenepe kidogo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…