NAUCHUKIA UMASKINI.

Vupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,769
Reaction score
1,248
Habaru za jumapili wanajamvi wa biashara na uchumi ...

Kama Mara linavyojieleza hapo . . UMASKINI umenichosha UMASKINI umeniibia utu wangu .. Nataka 2019 niwe MTU mpya mwenye maono mapya ...

Nina mtaji wa milioni 2 nataka mnishauri ni anze biashara gani Kwa mtaji huo?

Ushauri wenu ni muhimu kwangu..nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini ni mbaya kweli wala si uongo,.lakini usiukatae ukiwa umejifunika shuka,amka pambana...kama unamtaji kama huo huwezi kosa kitu cha kufanya,.

Labda nikuulize unaishi maeneo gani/mkoa gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…