Nauchukia Utanzania wangu

Kama hauko kwenye mirija ya asali , jua linakuwakia
 
Hata Burundi hutaki kwenda
 
Je serikali zetu za jamii ya kiafrika zimejipanga kuinua kipato cha mtu mmojammoja, (National economy and social development strategies of prevailing governments,), Swali jingine, je tuna National economy structure, (mfumo wetu rasmi wa kitaifa wa uchumi), uliolenga kuinua kipato cha mtu mmojammoja ambao Rais atakaye kuja hawezi kuuchezea
 
Kana uraia uhamie Somalia,Sudan,Irak,au Gaza,huku utakula maisha mazuri sana
 
Hatuna mikakati yoyote endelevu na hili n moja la mengi yanayoturudsha nyuma km inch.

We don’t have firm economic structure, no economic strategic, no friendly policy which can bust our local industries n business as well,

every years we found ourself being trapped in the same root of no where,

Excessive and exploitative taxes ambazo ni burned wafanyabiasha/ wajasilia mali. Excessive foreign debts due to which they claim to be concessional loans to finance Eco dvpt projects and Gvt budget’s . (Liars)

In a very simple words, hii inch imepoteza directions and they hold no future kwa Tanzania tuitakayo.
 
True
 
Good question
 
Safi sana, njia rahisi si unaukana tu Utanzania halafu unaenda balozi za nchi unayoijuvunia?
 
Safi sana, njia rahisi si unaukana tu Utanzania halafu unaenda balozi za nchi unayoijuvunia?
Kuwa mkweli ww leo hii ukipata visa y kuishe mbele huko utakataa?

It’s not one among ur dreams?

Ni kweli hutamani maisha tofauti n haya unayoishi?

Do u thnk there is second chance in this life or a life after death?

We live once and we can bear this nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…