Hata biblia husema "Yatosha siku kwa mambo yake yenyewe" kesho ni fumbo! Jana ni Historia
Iishi leo!
most of us struggle throughout our lives by giving too many fvcks in situations where fvcks do not deserve to be given.
Ungelalamika ulalamikavyo ila kusema "Nauchukia utanzania wangu" ina maana kubwa sana ndo mana umeona watu wameishambulia hio hoja.