figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
We vp? Hivi kuna zawadi kubwa zaidi ya mzigo?sasa we ulitaka ukuletee boxer?ayaaa umepoteza mzaz!
hahahahahah pole....
ukiutupa funguo baharini...
ukamezwa na samaki...
samaki akivuliwa na mvuvi....
mnunuzi ataupata tena huo ufunguo.......
Saa ingine hata aina ya mwanamke/mwanaume ambae unakua nae hu affect matatizo/raha uzipatazo ndani ya mahusiano....
BTW kumbuka kuna watu watundu na wabishi kiasi kwamba anakua mtaalam wa kuogelea (hata kwa visaidizi) hadi anaupata ufunguo...lol
Tatizo kufuli yake umeizoea sana ndo maana ulikuwa unatarajia kitu tofauti.....Poleee!
Hatupendi tabu wala kupigishana kelele na wasichana sema wenyewe ndo mna tulazimisha kuongea. nyie wanawake ni watu na kutufariji na kutupeleka dunia nyingine. Lakini mnatumia mapenzi mnayotupa kama fimbo ya kutupigia na kutunyanyasa hadi kutuweka roho juu kiasi kwamba hata chakula hakiliki. haiwezekani jana tangia saa tatu asubuhi unaniambia eti unaniletea box nifungue pasipo kukuona eti unakuja saa tano usiku bila chochote na kusema kufuli yako ndo box eti nifungue huku umelewa. rudi huko huko. Mia

hii ni pande zote bana, hata sisi huwa tunategemea faraja kwenu na hamna kitu, wote ni sawa tu.
ila hilo la kutupa funguo, usiutupe baharini ni afadhali unipe nikutunzie mpaka hapo ukiuhitaji tena.:eyebrows:
hahahahahahahahaha,
pole sana mkuu
hahahahah
pole sana mkuu mambo ya sikukuu
alikuwa analewa na marafiki zake waliokuwa wanasoma
wote shule ya msingi
wananunuzi bora waununue sipo kuliko angekuwa anauuza na mimi nipo nae. wanakela sana. Mia
Siku hizi wana master keys mkuu watafungua tu..
Tatizo atakayenunua samaki nani? Ukiwa na bahati mbaya mnunuzi anaweza waachia vijana wapaaji wa feri wasafishe samaki,ufunguo utaokotwa na teja
bahati ikiwa mbaya samaki atasafishwa nyumbani na mke wa mtu,utarudi jamvini unalia
ukiwa na bahati njema funguo itakutwa na mrembo mmoja,cjui atakutenda tena? Mia.