Naugua mke wangu akipata ujauzito

Naugua mke wangu akipata ujauzito

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
973
Wakuu habari zenu
Nisiwachoshe sana, ni kwamba mke wangu kila anaposhika ujauzito naumwa sana kiuno na hali hiyo itaendelea hadi atakopojifungua nakuwa mzima kabisaa hata chembe ya maumivu, je hali hiyo inatokana na nini na kwa kitaalaam inaitwaje? Naomba kujuzwa
 
Mko compatible aisee, yaani akiwa mjamzito huwezi hata kugegeda?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu nilikuwa natafuta comment yako labda ningepata kitu lakini umenishutusha tena!
 
Aisee jamany kiukweli kiuno kinaumaga sana
 
Tena bora maumivu ya uchungu mngekuwa mnayasikia nyie....maana ile ndio segere

Hahahaa sisi Mungu katupa ujasiri wa kufanya maamuzi magumu
ingekuwa kuna options ya wababa kubeba machungu yote hayo
wengi tungeamua 'no kids'....case closed..
 
Ndio vzuri mkuu badala ya yeye Ku experience we we unamsaidia, wengine hutapika kabisa kula udongo had uchungu husikia.
 
Back
Top Bottom