johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Acha maneno wewe. Serikali ya Tz ina mapesa mengi ya kutosha. Zikiisha tutafyatua nyingine kwenye mashine za photocopyUlikuwa ni utatu uliojikita katika uzalendo na ukweli na kamwe haukuyumbishwa na figisu za mafisadi.
Lakini leo Kangi anafisadi mradi wa zaidi ya sh bilioni 1 huku Zitto akizuia mradi wa zaidi ya sh bilioni 1 ambao ungewezesha ujenzi wa madarasa 1000, maabara na nyumba za walimu.
Ama kwa hakika wanasiasa ni vinyonga na kamwe usimuamini mwanasiasa.
Maendeleo hayana vyama!
Siyo rahisi kama unavyofikiria!Acha maneno wewe. Serikali ya Tz ina mapesa mengi ya kutosha. Zikiisha tutafyatua nyingine kwenye mashine za photocopy
Haya yaliyofanywa na Kangi ni AIBU ya Magufuli mwenyewe..
Angekuwa ni Rais makini anaefanya teuzi kwa ushauri na serious vetting, Kangi hakupaswa kuwa kwenye cabinet asilani..
Lakini kwakuwa analoamua yeye ndio linaluwa hakuna wa kupiga wala kushauri, wacha apate hii aibu.
Zitto na wanaharakati wamefanya lililo jema sana kuandikia WB kuzuia mkopo mpaka kuwe na uwanja sawa wa Elimu kwa watoto wa kike wanaopata ujauzito mashuleni waweze kurejea na kupata Elimu kwa usawa.
Cheza bila kukunja gotiSiyo rahisi kama unavyofikiria!