malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wakuu nauliza nauli ya basi Toka dar kwenda morogoro nishilingi ngap? nauliza nisije nkapigwa nataka safiri asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gar Gani nzuri na salamani wew na basi lako
kuna afu 3 malori
kuna afu 5 coster
kuna afu 8 mabas ya kawaida
kuna afu 10 VIP
kuna afu 15 VVIP
afu kuna bure lifti
Zinaondoka saa ngap na saa ngapNauli ni 10,000, kapande Abood chap
Kila baaada ya saa moja ila inaweza kuwa less than that kulingana na wingi wa abiriaZinaondoka saa ngap na saa ngap
kapande Abood zipo kama uchafu paleGar Gani nzuri na salama
Asante kwa taarifakapande Abood zipo kama uchafu pale
kuna BM
newforce
magari ya moro sio yakuja kutuukiza huku
kila daki pale magufuful ipo gar ya moroZinaondoka saa ngap na saa ngap
Ingia aboodbusservices.com kata tiketiWakuu nauliza nauli ya basi Toka dar kwenda morogoro nishilingi ngap? nauliza nisije nkapigwa nataka safiri asubuhi