joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakuu, hii imekaaje?, BRT ya Tanzania imejenga miundombinu mikubwa yenye kugharimu pesa nyingi zaidi ya Kenya ambao gharama kubwa ni vituo na makopo ya rangi kupaka Barbara, lakini bado nauli ya Kenya ni zaidi ya mara 5 ya Tanzania?.
Katika nchi ambayo wafanyakazi wenye kupokea mshaara wa zaidi ya Tshs 2M kwa mwezi hawazidi 9000, Je hii nauli kweli imezingatia hali ya maisha ya mkenya wa kawaida?