joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nchi ambayo wafanyakazi wenye kupokea mshaara wa Tshs 2M hawazidi 9000?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uchumi wa nchi unaruhusu, sisi Ni wanyonge wao wakenya Ni mabepari.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Du mbona kwa njano hivyo? Alafu sijaelewa process ya kulipia kupanda etc. Je hizo footbridge ndio station zenyewe au? Mbona hapo kwenye footbridge kuna takataka?Wakuu, hii imekaaje?, BRT ya Tanzania imejenga miundombinu mikubwa yenye kugharimu pesa nyingi zaidi ya Kenya ambao gharama kubwa ni vituo na makopo ya rangi kupaka Barbara, lakini bado nauli ya Kenya ni zaidi ya mara 5 ya Tanzania?.
Katika nchi ambayo wafanyakazi wenye kupokea mshaara wa zaidi ya Tshs 2M kwa mwezi hawazidi 9000, Je hii nauli kweli imezingatia hali ya maisha ya mkenya wa kawaida?
Ukisikia Kenya ni" failed state", hii ndiyo maana yake, hata Ulaya na nchi tajiri hakuna nauli kubwa kiasi hikiDu mbona kwa njano hivyo? Alafu sijaelewa process ya kulipia kupanda etc. Je hizo footbridge ndio station zenyewe au? Mbona hapo kwenye footbridge kuna takataka?
Kwa hiyo nauli inaonyesha kabisa hawakufanya mradi wa kunufaisha wananchi. Wamefanya tu ili na wao waseme wana brt.
Habari kaka, can you please share source ya hii data, nataka nitumie kwenye chapisho langu moja la kitaalumaNchi ambayo wafanyakazi wenye kupokea mshaara wa Tshs 2M hawazidi 9000?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]