Nauli ya kurudi nilipoajiriwa na Fedha ya kujikimu

changu ni changu

Senior Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
111
Reaction score
28
Wana Jamiiforum habarini za asubuhi!!Ndugu zangu nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba haujaisha nikiwa hapa dar wakanipa notice kwamba hawataniongeza mkataba, mkataba wangu umeisha tarehe 30 Septemba. Niliwaomba nauli za kunisafirisha Mimi na vitu vyangu lakini wakakataa, Je kwa mujibu wa sheria ninapaswa nilipwe aje kwa ajili ya safari na je wanapaswa kunilipa posho za kujikimu tangu mkataba wangu ulipoisha mpaka siku ya kusafiri?. Na kisheria posho ni shilingi ngapi kama mshahara wangu ulikuwa 1,100,000/=
 
Wanatakiwa kukulipa nauli ya kurudi nyumbani.

Unawadai nauli kulingana na bei zilizopo sokoni za usafiri
 
Wanatakiwa kukulipa nauli ya kurudi nyumbani.

Unawadai nauli kulingana na bei zilizopo sokoni za usafiri
Ahsante sana Remmy, je kuna muongozo wowote wa serikali kuhusu nauli za kwa mfanyakazi kwa kilomita kwa tank?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…