Nauli ya kutoka Morogoro to Pangani/Tanga

Nauli ya kutoka Morogoro to Pangani/Tanga

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Habari za Mchana jamani.

Naomba kufahamu nauli ya kutoka Morogoro mpaka Pangani/Tanga hasa kwa wakati huu Mafuta yalivyopungua...

Naamini na nauli zitapungua pia.

🙏🙏
 
Unaweza kuja mpaka Bagamoyo unachukua Sea ferry fasta ukaja nayo Hadi Pangani.
Ama njoo mpaka Dar uchukue Tashrif kupitia Tanga.
 
Sasa nikija Hadi Dar si ntakuwa narudia tena nyuma Hadi Chalinze to Tanga..?
 
panda gari za moro, shuka chalinze pale unapanda hadi msata unchukua ndinga hadi Tanga hapo unaenda panda za pangani nauli kama 50 hivi
 
Back
Top Bottom