Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

smillinggal

Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
11
Reaction score
2
Habarini wakuu
Naombeni kujua gharama za kusafiri kutoka Tanzania kwenda China mji wa Guangzhou
 
nafikiri ukigoogle tu au ukaenda kwa agents wa safari za anga unapata mkuu
 
Mtu kama haujui si ukae kimya tu!!ya nini kujibu thread isokuhusu..humu kuna watoto wajuzi wanaharibu shape ya jf.. kila thread lazima wakomenti wao,kwani lazima!?.kama huna namna ya kumsaidia mtu piga kimya wenye uwezo wapo watasaidia..unakuta mtu hata kupanda ndege kwenda Zanzibar tu hajawai ila Leo ndo wakwanza kwenye thread zinazoulizia nauli za kwenda China...
 
Yani wanakera sio siri
 
Hivi naweza kupata gari ya moja kwa moja kutoka mbagala mpaka zanzibar? Nauli ni shilling ngapi? Na ninachukua muda gani
 
Inategemea unataka ukae class gani mkuu ,ukae Economy au Business class??
 
Mood anatakiwa kuanza kutembeza ban kwa wanaozani JF in face book kuna watu comments zao kila mjadala in jokes tu dah hatukatai hata sisi kuna mda huwa tunapuyanga ila tunapuyanga for some reason, mfano Uzi ukiwa hauna maana inabidi ujibu ulivyo sasa hapa MTU ansuliza jambo LA msingi sana MTU ana comment ujinga
 
Back
Top Bottom