Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

Inategemea na season.
Mara nyingi kuanzia $850-1200.
Ndege cheap Ethiopian Airlines via Addis Ababa
Pia Kenya airways via Nairobi via Bangkok
Au Qatar airways via Doha..Pia kuna mashirika mwingine ya kichina.
Hii ni go and return au kwenda tu.
 

Mkuu hiyo ni Oman Air tarehe ya kuondoka 1 March na kurudi ni 15 March! Nauli ni $536.58
 
Mkuu sio kweli kwamba hizo ndege ulizotaja ndio bei rahisi. Angalia emirates, etihad au Qatar ni cheap na pia ni ndege zenye huduma ya kiwango cha juu. Usiogope majina makubwa kwa kudhani ni expensive, la hasha.
 
OK Kwa Ndege za China Southern Airlines Ni $996
Note: Gharama inaweza kupanda na kushuka kulingana na Promo na Ukataji Wa Ticket
Hivi ndege za shirika la China southern airline zinafika Dar siku hizi? Kama kuna direct route ni nzuri Sana.
 
Oman air ni cheapest,nimewahi safiri mpaka kwa usd 452 go and return,,wanakua na promotions pia mara nyingi,wanatoa kg 50 plus 7,,check website yao kuna offer pia inaisha leo as cheap as 496 usd kwa go and return from Dar to Guangzhou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…