Nauli ya treni ya SGR (Dar - Dodoma) kupanda kuwa TZS 40,000/-

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
UFAFANUZI: NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KWA 40,000 NA 31,000 KWA KAWAIDA SIYO SAWA

UFAFANUZI ;
Nimepokea ufafanuzi kutoka kwa wadau ,NAULI YA TRENI SGR asubuhi ni shilingi 40000 na 31000 jioni.
Portal ya tiketi haisemi kitu na website yao haisemi kitu kuhusu tofauti ya bei.
 
NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KUPANDA KUWA 40,000

Nauli ya treni ya umeme SGR Dar-Dodoma kupanda kuwa 40,000 kutoka 31,000. Kwa tiket iliyokatwa leo. Economy nauli ilikuwa 40,000.

LATRA - Mpo kimya.
TRC - Hawajatoa matangazo ya kupanda kwa nauli.
View attachment 3073698
Serikali ya bongo ina akili za kimachinga tupu! ukisifia tu inapandisha bei, Poor!
 
Acha kukurupuka. Hio ni nauli ya EXPRESS ECONOMY. Ordinary ni ile ile 31,000/-
 
Serikali ya bongo ina akili za kimachinga tupu! ukisifia tu inapandisha bei, Poor!
Waweke 100,000 kabisa itapendeza zaidi

Ova
Hilo Tren litakosa watu sasa
Wanajiandaa kwenda kizmkazi kutikisa makalio, kunywa pombe, kumuona baba Levi na mwijsku, na doto magari,
Wanaamini wakikutana ni hawa vijana watstu, watapata deals za ajira na kubadilisha maisha yao
Serikali ya bongo ina akili za kimachinga tupu! ukisifia tu inapandisha bei, Poor!
Angalieni mbele kuna bonde na mto mtatumbukia.
 
Ujuaji mwingine hauna maana. Huna taarifa sahihi unaropoka ropoka ovyoooooo!
 
UFAFANUZI: NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KWA 40,000 NA 31,000 KWA KAWAIDA SIYO SAWA

UFAFANUZI ;
Nimepokea ufafanuzi kutoka kwa wadau ,NAULI YA TRENI SGR asubuhi ni shilingi 40000 na 31000 jioni.
Portal ya tiketi haisemi kitu na website yao haisemi kitu kuhusu tofauti ya bei.
Newmzalendo naomba uni dm tafadhali
 
Back
Top Bottom