newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
Shabiby anasemajeNAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KUPANDA KUWA 40,000
Nauli ya treni ya umeme SGR Dar-Dodoma kupanda kuwa 40,000 kutoka 31,000.
LATRA - Mpo kimya.
TRC - Hawajatoa matangazo ya kupanda kwa nauli.
Serikali ya bongo ina akili za kimachinga tupu! ukisifia tu inapandisha bei, Poor!NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KUPANDA KUWA 40,000
Nauli ya treni ya umeme SGR Dar-Dodoma kupanda kuwa 40,000 kutoka 31,000. Kwa tiket iliyokatwa leo. Economy nauli ilikuwa 40,000.
LATRA - Mpo kimya.
TRC - Hawajatoa matangazo ya kupanda kwa nauli.
View attachment 3073698
Wanajiandaa kwenda kizmkazi kutikisa makalio, kunywa pombe, kumuona baba Levi na mwijsku, na doto magari,Gen z wako kimya!
Acha kukurupuka. Hio ni nauli ya EXPRESS ECONOMY. Ordinary ni ile ile 31,000/-NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KUPANDA KUWA 40,000
Nauli ya treni ya umeme SGR Dar-Dodoma kupanda kuwa 40,000 kutoka 31,000. Kwa tiket iliyokatwa leo. Economy nauli ilikuwa 40,000.
LATRA - Mpo kimya.
TRC - Hawajatoa matangazo ya kupanda kwa nauli.
View attachment 3073698
Serikali ya bongo ina akili za kimachinga tupu! ukisifia tu inapandisha bei, Poor!
Waweke 100,000 kabisa itapendeza zaidi
Ova
Hilo Tren litakosa watu sasa
Wanajiandaa kwenda kizmkazi kutikisa makalio, kunywa pombe, kumuona baba Levi na mwijsku, na doto magari,
Wanaamini wakikutana ni hawa vijana watstu, watapata deals za ajira na kubadilisha maisha yao
Angalieni mbele kuna bonde na mto mtatumbukia.Serikali ya bongo ina akili za kimachinga tupu! ukisifia tu inapandisha bei, Poor!
Newmzalendo naomba uni dm tafadhaliUFAFANUZI: NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KWA 40,000 NA 31,000 KWA KAWAIDA SIYO SAWA
UFAFANUZI ;
Nimepokea ufafanuzi kutoka kwa wadau ,NAULI YA TRENI SGR asubuhi ni shilingi 40000 na 31000 jioni.
Portal ya tiketi haisemi kitu na website yao haisemi kitu kuhusu tofauti ya bei.