Nauli yakutoka Mwanza to Mafinga, Iringa

Mwanza to Moro 30,000
Moro to mbeya 20000
Maana unashuka njiani na hawakati nusu
Chukua 50,000/= mkuu
 
Mwanza to Moro 30,000
Moro to mbeya 20000
Maana unashuka njiani na hawakati nusu
Chukua 50,000/= mkuu
Hapana mkuu anapanda gari za mwanza to mbeya nauli ni 40000 had 45000 kampuni ni premium line,Best line,Isamilo nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…