Nauli yangu toka Texas kuja nyumbani lounge imetumika sawia kabisa

kwikwiwkwiwkwiwkwiwk na trela ndio imeanza bado muvi hahahahahah
 
"Riziki ya mtu haizibwi
kwa fitna wala uonevu!" - Makala jr
 
Nilisoma ujumbe wa jide kwenye tweeter anasema SUGU KASHANGILIWA SANAAAAA,,,
na humu kuna wadau walim'beza sana SUGU HAPA

Napata harufu ya CDM (sugu, prof,..) vs CCM (clouds, FA aliyeikataa Tanga all stars). Ni mwanzo tu wa kufikiri, naweza kua nimepoteza!

tragedy of the commons
 

Mimi alikosha alivyochana verse ya Mr Blue katika ngoma ya Wangu. Aisee kawazima ziiiiiihhhh!
 
clouds FM mmeona sasa mlichokifanya eeeh sasa mmemneemesha Jide anakula maisha na kila mtu anam0enda mlikuwa hamna haya ya kushibdana nae.

Naapa mimi mwenyewe ningekuwepo dar ningeenda kwa Jide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…