kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
tena wapandishe sana ili tuanze kutembea kwa miguu kama babu zetu wakati ule...mtu unatembea toka kigoma mpaka dar. safi kabisa...hongera ccm kwa kutimiza ilani, hata mkulo anasema uchumi umepaa hivyo wananchi wana uwezo wa kulipia hayo maongezeko ya maj, umeme, usafiri, afya n.k. hii nio maana ya maisha bora, kutumia kwa sana!!! huwezi ukawa unatumia chini ya dola moja ukasema una maisha bora.
wewe ndio umeleta habari halafu unadai sisi ndio tukujuze? we vipi, mwongo mkubwa!Kuna habari....mwenye habari zaidi atujuze.
wewe ndio umeleta habari halafu unadai sisi ndio tukujuze? we vipi, mwongo mkubwa!
mkutano uko scheduled for the 7th, Jan
wewe ndio umeleta habari halafu unadai sisi ndio tukujuze? we vipi, mwongo mkubwa!
mkutano uko scheduled for the 7th, Jan
wapandishe hata 300% ili tutakapo ingia barabarani kusiwepo na wa kusitasita...wapandishe kwa asilimia 100.
Mna mwone habari inaweza kuanza na tetesi halafu kukatokea na mtu anae lifahamu jambao hilo vema aka-confirm sasa mkianza kumsakama hivyo ina maana neno tetesi hapa JF halina maana.....au siku hizi tetesi hazitakiwi hapa JF....Aliskia tetesi, akazileta. Kiukweli si mwongo bali mdaku.
wapandishe hata 300% ili tutakapo ingia barabarani kusiwepo na wa kusitasita...