KERO Nauli za mabasi ya mikoani ni changamoto msimu huu wa sikukuu

KERO Nauli za mabasi ya mikoani ni changamoto msimu huu wa sikukuu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
VItuo vya kukatia tiketi za basi ni changamoto sana kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

Baadhi ya makampuni yamefungia mifumo ya kukata tiketi online pia makampuni mengine yamejikatia tiketi zote kwenye mfumo wao wenyewe na kisha kubaki na risiti za tiketi anapokuja mteja wanamuuzia tiketi hizo kwa bei ya juu lakini kiasi kilichopo kwenye tiketi halali ni kile kilichopangwa na LATRA lakini wao ili wakupatie tiketi hiyo inakubidi ulipe nauli zaidi ya nusu ya nauli halali mfano kutoka Dar es Salaam kwenda Moshi nauli ni Tsh. 50,000 lakini ili wakuuzie tiketi wanakwambia lipia Tsh 70,000 ili upate tiketi yako
 
Mary's boy child, Jesus Christ, was born on Christmas Day,

And man will live forevermore because of Christmas Day....Merry Christmas and a Happy New Year🌲🎄🎁🍽️🕯️🧑‍🎄🦌

Hizi ndio harakati za mtu mweusi....
 
Back
Top Bottom