Nauliza: Awadh wa TTAFDICK yuko wapi, naona Ubungo kumekuwa kimya sanaa?

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Boss mkubwaaaa yuko wapii huyuuu

Nakumbuka alivyokuwa akiwaotea wazee wakazi wa mwendokasi na wale wanaosimama vituo visivyo na maana

Kwakweli aliwashonaaaaa aliwanyoooshaaaa kwelii wengineoooo

Mpeni salam ubungo imetuliasan sema apunguze kidogo kufunga funga madreva wengine wanahitaji kuelimishwa
 
Yuko ghorofani kwake Mbweni.....anakula upepo wa bahari!
 
Yupo Temeke huko anadili na mafile kuna salamu zake zozote nimpatie?
 
Back
Top Bottom