Nauliza bei ya ream Jumla

Nenda mtaa wa Lindi kama sijakosea, stand ya Mbagala zamani kuna maduka mengi yapo ya wahindi na wasomali
 
Shukrani mkuu hii bei inafanana na barabara ya nane Dodoma
nipe oda yako ntaongea na Mshana Jr kupitia platforms zetu "Pwani Platforms" kunachimbo mara ya mwisho bei ilisimama hapa 40 500//=......na hiyo ndo ilikuwa bei ya juu
kama uko ndani ya Dar utalipia just services fee ya Pwani Platforms ambayo haitozidi Tsh.10 000
 
Ream aina gani hio mkuu?

shuleni wanapendelea zaidi Double A
 
Ngoja nimuulize mshana kama hii habari ni ya kweli?

Ndugu Mshana Jr , hii habari ni ya kweli?
 
Kwa Arusha ni sehemu gani wanauza vitu vya stationery Bei rahisi?
 
McR naweza kupata rim za biashara? , nipo arusha.. Please check me 0712363358
 
Kuna aliyefanikiwa kupata ream kwa bei ya chin zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…