Nauliza daktari bingwa wa wanaume

hivi magoinjwa ya wanaume ni yapi? nahisi huyo dr itabidi atibu infidelity pia,lol
I was wondering! Sijawahi kusikia huyo daktari anapatikana wapi na anatibu nini. Well, Boss, itabidi tufikirie kuwa na madaktari wa aina hiyo pia. Tukizidiwa tutatibiwa na nani?
 
ooh, kumbe ana hiyo sub-specialty? i still dont believe u though, urologist ndo the right person for impotence issues. male reproductive system tunasoma secondary pia, should we call ourselves super specialists? dr kapona is my gynae bt i ddnt know that. ila hatibu bure banaa, consultation tu 20,000/= tshs?!
asante kwa kutujuza, grateful to have u here dr. shld i give u my cv too?be warned it is shallow...

 
ooh, kumbe ana hiyo sub-specialty? he is my gynae bt i ddnt know that. ila hatibu bure banaa, consultation tu 20,000/= tshs?!
asante kwa kutujuza, grateful to have u here dr

duh.kidume unakivulia nguo na unakilipa 20,000 ?????
nipo kwenye wrong bussiness kwa kweli lol
 
u got an evil mind, u know that? its nt funny kuwa gynae aisee, haina tofauti na muuza samaki,lol!

muuza samaki????uwiiii.....kumbe sisi mnatuletea mkiwa meshaziparura ehh????lol

but wanalipwa kwa kuona vitu ambavyo wengine wanavilipia....lol....
 

Hiyo namba 5 mbona sielewi inahusiana vipi!
 
hehehe, samaki akishaparuliwa si ndo analika bana, hebu toka hapa!
u shld change ur profession dude.
muuza samaki????uwiiii.....kumbe sisi mnatuletea mkiwa meshaziparura ehh????lol

but wanalipwa kwa kuona vitu ambavyo wengine wanavilipia....lol....
 

Ninaposema mnapata huduma hizi bure ninamaanisha hata ushauri huu tunaowapatia bure wa kuwa kamwone fulani bado nayo ni aina fulani ya consultation.
Urology inahusika na mfumo wa mkojo na hayo masuala ya mpipi kuwa na matatizo siyo speciality ya Urologist (japo hashindwi kutibu hako katatizo - kumbuka nilivyokueleza katika thread yangu ya mwamzo!). Halafu waTz wabishi jamani, sijawahi kuona. Nd'o maana mnaishia kwa waganga wa kienyeji akina Dr.Ndodi, Dr. Rahabu sijui na nani yule mwingine anayegawa dawa yz vidonda vya tumbo (dozi madumu 5 sijui 6 ya lita tano - kwa zaidi ya 200,000) na Babu Ambi. Nawakubali: THEY ARE INTEPRENEURS! Kama unataka kunipatia CV yako ni-PM, kule nd'o tutaongea vizuri, si unajua mambo ya "Privacy & Confidentiality" katika fani yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…