Welcome to redpill society.
Ufafanuzi
BETA MALE
Kwanza Beta ni neno la kilatin lenye maana ya badae au ni kitu kinachofuata baada ya ile iliyo imara kwa maana nyingine beta ni " dhaifu"
Beta male ni Nani?
Beta male ni mwanaume dhaifu katika nyanja mbali mbali za kijamii uhusani kwenye upande wa mahusiano. Zifuatazo ni sifa za beta male
-Beta male ni mwanaume asiweza kusema "NO" kwa chochote kile anachoambiwa na mwanamke akiamini kwamba ndio ustaharabu au ugentleman.
-Beta male ni mwanaume ambaye Yuko tayari kufanya Jambo kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke hata kama litamgharimu yeye kiafya au kiuchumi yeye anachoangalia ni mwanamke kufurahi.
-Beta male ni mwanaume ambaye yuko tayari kuwapuuza wazazi au jamaa zake wa karibu ambao ndio wana uchungu na yeye na kufuata matakwa ya mwanamke wake aliyekutukana nae ukubwani.
-Beta male ni mwanaume anaempa thamani kubwa sana mwanamke kuliko inavyopaswa na kuishusha jinsia yake, mara nyingi huwa yuko tayari kumuangamiza mwanaume mwenzake kwaajili tu ya maslahi ya mwanamke.
-Beta male ni mwanaume asielewa chochote kuhusiana na women manipulation.
-Beta male ni mwanaume anayeona fahari kudate/kuoa mwanamke ambaye tayari ameshakuwa damaged akiamini eti ni mkomavu wa kifikra hapa unakuta anaoa single mother, kahaba mstaafu n.k
-Beta male ni mwanaume ambaye anawekeza kwa mwanamke kabla ya kuwekeza kwake mwenyewe, hapa unakuta anamsomesha au kumkopea mkopo wa biashara mwanamke ilihali yeye bado anaishi nyumba ya kupanga.
-Beta male ni mwanaume ambaye anafanya Jambo ili aonekane yeye ni "real man" kwa mwanamke, pasipo kufahamu hicho cheo huwa Wanapewa wanaume mabwege.
-Beta male ni mwanaume ambaye anaona dawa ya mwanamke mjeuri na msaliti basi ni kumuongezea upendo na kumtoa outings za gharama na akishindikana sana anamuachia nyumba na mali zote walizochuma kisha yeye anaenda kuanza maisha upya.
Beta male ni mwanaume anayetumia zaidi emotions kuliko logic kwenye mahusiano.
-Beta male ni mwanaume mtiifu kwa mwanamke na mara nyingi huwa Wana dharauliwa Sana na wanawake.
-Beta males ni wanaume wanaoongoza kulizwa lizwa ovyo na wanawake kwenye mahusiano.
NOTE: KUNDI HILI LA BETA MALES KWA JINA LINGINE WANAITWA "SIMPS" au " WHITE KNIGHTS"
ufafanuzi kuhusu ALPHA MALES
Alpha ni neno la kilatin lenye maana la inayoanza au iliyo na nguvu zaidi. Hivyo basi Alpha Male ni mwanaume imara anayeitambua na kuilinda nafasi yake hapa duniani.
Zifuatazo ni sifa za ALPHA MALE
-Alpha Male ni mwanaume anayejali maslahi yake Kwanza kabla ya kuangalia maslahi ya watu wengine.
-Alpha Male ni mwanaume anayeishi kwa kufuata principals zake alizojipangia mwenyewe pasipo kuangalia watu waliomzunguka wanamchukuliaje
-Alpha Male ni mwanaume ambaye akiamua kufanya Jambo kwa ajili ya maslahi ya wengine, Basi anafanya pasipo kupendelea jinsia yoyote ile yaani atahakikisha manufaa yake yanamlenga kila mtu.
-Alpha Male ni mwanaume mwenye vision na siku zote anakimbizana na dreams zake.
-Alpha Male ni mwanaume asiyekuwa na muda wa kubembeleza mwanamke, siku zote yuko tayari kubwaga manyanga kwa mwanamke asiyeeleweka yaani hana muda wa ku-entertain dramas.
-Alpha Male ni mwanaume anayepeleka mambo yake kwa logic yakiwemo ya kimahusiano, yaani kabla hajafanya maamuzi anapima Kwanza faida na hasara zake.
-Alpha Male ni mwanaume anayeingia kwenye mahusiano/ndoa huku tayari akiwa na exit plan, hili mambo yakienda ndivyo sivyo anakuwa hana cha kupoteza
-Alpha Male ni mwanaume mwenye Kinga dhidi ya women manipulation na ni nadra kuingizwa mkenge na mwanamke.
-Alpha Male ni mwanaume mwenye upendo wa Hali ya juu kwa mwanamke wake, lakini upendo huo unakufa Mara moja pale tu mwanamke huyo anapo msaliti.
-Alpha Male ni mwanaume anayeitambua majukumu yake kwa mwanamke kama mume, na hawezi kubeba jukumu la mume kwa mwanamke ambaye bado hajamuoa.
-Alpha Male ni mwanaume ambaye hayuko tayari kula makombo ya mwanaume mwenzake, mara nyingi akitaka kuoa anatafuta mwanamke bikra na hawezi kabisa kuoa single mother au mwanamke aliyekwisha tumika Sana.
-Alpha Male ni mwanaume asiyejilinganisha hata kidogo na mwanamke, yaani yeye siku zote ana dominant traits na anazionesha pale inapobidi.
-Alpha Male ni mwanaume mwenye high level of masculinity and he uses it for better purposes.
-Alpha Male ni mwanaume asiyejali kabisa kuonekana yeye ni misogynist kwa maamuzi na mitazamo aliyonayo mathalani yeye anaiona ni sahihi.
-Alpha Male ni mwanaume anafanya juu chini kabla hajaondoka kwenye hii duniani aache legacy.
NOTE: ALPHA MALE NDIO MWANAUME AMBAYE KILA MWANAMKE ANA DREAM YA KUOLEWA NAYE KWA BAHATI MBAYA WAKO WACHACHE SANA KWENYE DUNIA YETU YA LEO.