Nauliza eti kuna Wana JF ambao bado wanaishi kwao kwa wazazi?

Kuna mdogo wangu mmoja alimwambia mama siondoki hapa mpaka ulete whinch lije kunibeba
 
Ndiyo inabidi ukaushe tu , maana hachelewi kukwambia urudishe mpira kwa kipa ๐Ÿ˜€
The ultimate solution. Na unamuambia kwamba hizi hustle nje ya Dar haiwezekani anakujibu njoo usubirie ajira nyumbani
 
Nakazia
 
Wee dea usnchekeshe sas lol, ningekua mie na mute kinmya ndan km sipo vileeh.
Nilimute ikashindikana mara kama anakohoa dirishani kwangu, ikabidi nijitokeze nimwambie tu pesa ntakupa siku fulani ndiyo akatulia๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Nilimute ikashindikana mara kama anakohoa dirishani kwangu, ikabidi nijitokeze nimwambie tu pesa ntakupa siku fulani ndiyo akatulia[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mama n kiboko khaaaah, anijkohoresha dirishan lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ