Hivi kwanini vyama vyote vitatu vinavyopinga kuwa zanzibar hawakushirikishwa kwenye mchakato wa katiba vilikutana na shura ya maimamu peke yao na wakristo wakaachwa solemba hv ni kwanini hawakukutana na baraza au chombo kinachowawakilisha wakristo huko zanzibar? Kwanini waislam wamekutana nao lakini wakristo huko zanzibar wakatengwa ili hali nao wapo huko zanzibar? naomba ufafanuzi hasa kwa viongozi hao wa vyama vya kisiasa sababu iliyowafanya wawatenge wakristo huko zanzibar??