ndo ivyo mwana, km vip tuombe membership ktk koo zao tupate kazi alafu badae tuwatose
we huna vigezo acha majunguHihii tume ya utumishi ya ajira sina imani nayo ndugu zangu, naona yule mshikaji corruption yupo kabisa, maana mchakato wa interview na kufaulu wengi wanaopata zile nafasi zenye maziwa na asali ni watoto wa washua tu, sisi watoto wa wakulima ni maafisa kata, watendaji wa vijiji, tena upate kwa mbinde, na utazipata pale watoto wa kishua wanapozikataa. da!
Uongo mtupu huu. Sio lazima uanzishe topic yako humu JF, naona unalazimisha mambo
acha uongo na majungu!
kama ujapata kazi! endelea kusubiri zamu yako ifike sio kulalama na kulaani watu!
ata mungu apendi! yaani sisi kila siku tu tunalalamika watoto wa vigogo!
hii inaweza kusababisha sisi kukusa kazi sababu ya kulaani watu wasiousika kutukandamiza
Kaka inaelekea we ni mgeni wa TANZANIA hii laiti ugejua jinsi kazi zinavyotolewa kwa kujuana, na undugu usinge ongea hivyo, hata wengi walioko makazini ukiwauliza ulipataje hii kazi utasikia ni (mchongo tu kaka) we kama umesoma chuo na watoto wa vigogo hebu waulizie wako wapi na wanafanya nini then tupe jibu.
acha uongo na majungu!
kama ujapata kazi! endelea kusubiri zamu yako ifike sio kulalama na kulaani watu!
ata mungu apendi! yaani sisi kila siku tu tunalalamika watoto wa vigogo!
hii inaweza kusababisha sisi kukusa kazi sababu ya kulaani watu wasiousika kutukandamiza
wewe ni sisimu halafu ni mtoto wa kigogo mm nakufahamu a mpaka z
huyu jamaa anajiita Obama wa Bongo anafanya kazi seretariat ya ajira ndo maana topic yeyote yenye ukweli ya upendeleo unaofanywa na hii taasisi hutoka mabovu kwa kuitetea. Kijana gan? Usionea huruma watanzania wenzako? Ukishiba angalia wengine wenye njaa wasiokuwa na fursa
hivi gpa nayo si inahusika ktk kuitwa kwwny interview ama?Na kwsbb yy kapata bila kuhangaika,ndo maana anatetea...angekua amekaa mtaani km wengine hapa,imagine since 2010,hata hyo interview kuitwa bahati.....asingesema
acha uongo na majungu!
kama hujapata kazi! endelea kusubiri zamu yako ifike sio kulalama na kulaani watu!
hata mungu hapendi! yaani sisi kila siku tu tunalalamika watoto wa vigogo!
hii inaweza kusababisha sisi kukusa (kukosa) kazi sababu ya kulaani watu wasiousika kutukandamiza