Nauliza hiviiiii kuna haja ya kuwepo chombo hiki cha serikali?

HILI SUALA LINAWEZA KUWA NA AJENDA NYUMA YAKE MAANA HAIWEZEKANI SUA WANAHITAJI TA WA VERTINARY SURGERLY HALAFU ATI AKAFANYE INTERVIEW DAR TENA ATI MKUU WA IDARA UNATAKIWA KUTUMA MASWALI 20 NA MAJIBU YAKE. KIKAWAIDA MTU WA SURGERLY NI LAZIMA AINGIE THERTER NA AONYESHE UWEZO WA KUPASUA WANYAMA, SWALI NI JE? KULE WIZARANI WAMEJENGA HIZO THERTER AU WANATAKA KULETA VILAZA NA NA VINYAGO VYAO?? sI KILA KAZI NI ZA KUZIINGIZIA SIASA JAMANI WAACHE WATAALAMU WAFANYE KAZI YAO.
 
asante kwa marekebisho ya lugha!
kitu nilicho sisitiza hapa ,ni hii tabia ya sisi tuliokosa kazi kutoa lawama!kupita kiasi
ni kweli kukaa mtaani kunatuuma sana lakini isiwe sababu ya kutukana na kudhihaki watu
 
asante kwa marekebisho ya lugha!
kitu nilicho sisitiza hapa ,ni hii tabia ya sisi tuliokosa kazi kutoa lawama!kupita kiasi
ni kweli kukaa mtaani kunatuuma sana lakini isiwe sababu ya kutukana na kudhihaki watu

mnafiki.
 
this is living!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hili linalolalamikiwa ni kutokana na kasoro katika mifumo yetu. Ilitakiwa iwe ni kawaida kuwa mtu akimaliza shule aidha aajiriwe au ajiajiri. Serikali ingeweka mazingira hayo sidhani kama kungekuwa na malalamishi. Lakini tumeproove kushindwa. labda aje World bank au nani sijui atupe desa la kusonga mbele.Nadhani kungekuwa na mahitaji muhimu ya maendeleo kote nchini ambayo hayatawalazimu watu kukimbilia DSM au ajira toka Serikali kuu kusingekuwa na shida kubwa kwa graduates wetu. Inawezekana yako mapendekezo mengi mazuri kwenye makabrasha au makabati yanapata VUMBI; hayakufanyiwa kazi kwa sababu za kibinafsi au kijinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…