Nauliza kama kuna chuo kinafanya Admission ya NTA Level 4 ya Community Development mwezi March?

Nauliza kama kuna chuo kinafanya Admission ya NTA Level 4 ya Community Development mwezi March?

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
1,213
Reaction score
1,918
Habari wanandugu,

Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
 
Fuatilia NACTEVET.. au nenda chuo Husika mara nyingi Huwa kunakuwa na Intake ya March hasa private institution
 
Mi niko Dar ila kuna mtu namtafutia kokote anaweza kwenda.
 
Back
Top Bottom