SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Uko mkoa ganiHabari wanandugu,
Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
Mi niko Dar ila kuna mtu namtafutia kokote anaweza kwenda.Uko mkoa gani
Mi niko Dar ila kuna mtu namtafutia kokote anaweza kwenda.
Hamna tatizo kipo kinapatikana mkoa wa Kigoma wilaya ya kibondoMi niko Dar ila kuna mtu namtafutia kokote anaweza kwenda.
Kinaitwaje?Hamna tatizo kipo kinapatikana mkoa wa Kigoma wilaya ya kibondo
Mbonye Training College (MTC) NTA level 4, 5 & 6, admission Year Intake March and Intake September, for full information PM.Kinaitwaje?