I Ilambo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 475 Reaction score 89 Jun 6, 2015 #1 Habar wana jf,nauliza kwl wale waliopata chuo mwaka jana lakn hatukuenda wala kuandika barua hatuwezi pata Chuo mwaka huu??? Plse mwwnye uelewa au km kuna mtu yamemtokea haya aje atushuhudie!!!!
Habar wana jf,nauliza kwl wale waliopata chuo mwaka jana lakn hatukuenda wala kuandika barua hatuwezi pata Chuo mwaka huu??? Plse mwwnye uelewa au km kuna mtu yamemtokea haya aje atushuhudie!!!!