Nauliza: Kusafirisha mizigo from Dar to Nairobi Kenya

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Habari wapendwa.

Kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili,

Nina vimizigo (parcels/boxes) ambavyo nataka kuvituma from DAR to Nairobi Kenya. Njia ipi ya utumaji ni cheaper? na gharama zao zikoje? Ahsanteni ndugu

-Kayanda-
 
Nenda ofisi ya DAR EXPRESS wanasafirisha kulingana na thamani & uzito ya mzigo. Mpokeaji Nairobi atapokelea ofis zao za Nairobi, River Road. Alternatively, mimi naenda huko mwisho wa mwez, japo itabid niukague mzigo usije ukanibebesha sembe bila kujua
.
 

Ahsante sana mkuu, you are very helpful. Ni viparcel ambavyo nitakuwa navituma from time to time. So nitaenda kwa hao DAR EXPRESS. Ubarikiwe Muelimishaji2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…