Hudhuria mikutano ya kampeni ya CCM. Hasa ile anapokuja JK. Maana inaonekana kama viongozi wa Wilaya na Mikoa wana agenda ya kumfanya JK aamini kuwa CCM inakubalika kila mahali. Kwa hiyo pale ambapo watu hawatoshi wanajazia kwa kusomba na malori.Kwa muda mrefu kumwkuwa na thread kuwa wengi wa wanaokuja katika kampeni za CCM na JK mbali na kushangaa kuwa mgombea mmoja anaweza kusafiri kwa herikopta 3 lakini kuna tetesi kuwa huwa wanasombwa kwa maroli. Mimi sitaki kuamini hata kidogo. je yupo ambaye ana picha atuwekwee tuone maroli yakileta watu mkutanoni?
Karibu mwenye uthibitisho
:director:
kwa muda mrefu kumwkuwa na thread kuwa wengi wa wanaokuja katika kampeni za ccm na jk mbali na kushangaa kuwa mgombea mmoja anaweza kusafiri kwa herikopta 3 lakini kuna tetesi kuwa huwa wanasombwa kwa maroli. mimi sitaki kuamini hata kidogo. Je yupo ambaye ana picha atuwekwee tuone maroli yakileta watu mkutanoni?
Karibu mwenye uthibitisho
:director:
https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/76002-jk-alivyofunika-tabora-2.htmlKwa muda mrefu kumwkuwa na thread kuwa wengi wa wanaokuja katika kampeni za CCM na JK mbali na kushangaa kuwa mgombea mmoja anaweza kusafiri kwa herikopta 3 lakini kuna tetesi kuwa huwa wanasombwa kwa maroli. Mimi sitaki kuamini hata kidogo. je yupo ambaye ana picha atuwekwee tuone maroli yakileta watu mkutanoni?
Karibu mwenye uthibitisho
:director: