Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Unapeleka application bila shaka
kati ya victoria na moroko!jengo la lowasa alpha house!
kwahiyo unaniambia Alpha House na Alpha dry cleaner iko kwa dugu moja!?kati ya victoria na moroko!jengo la lowasa alpha house!
Pigia mstarikwahiyo unaniambia Alpha House na Alpha dry cleaner iko kwa dugu moja!?
Pamoja na Alphatel.kwahiyo unaniambia Alpha House na Alpha dry cleaner iko kwa dugu moja!?
safi sana!!!!kama unatoka kinondoni ,panda magari ya mwenge , then shuka moroco, nenda na upande huo ulishukia kuna sheli, fuata barabara ya bagamoyo. Mita 200 mbele mkono wa kushoto kuna jengo la alpha, ndipo zilipo office zao, wapo jengo moja na barclays.!
kweli kabisa..ni risky kupeleka by hand..much less reception...:sad: