Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Picha ni lazima,wewe unadhani tutakujuaje?Siyo ya lazima bhana...
Ahsante...Karibu Sana!!
Shukrani...Karibu sana JF.............
Tutajuana tu humu humu...Picha ni lazima,wewe unadhani tutakujuaje?
Ahsante, hatutatukanana...wamekukaribisha vizuri sana ila wengine wana matusi kweli ukiwarudishia wanakuona mbaya mi pia mgeni leo karibu mgeni mwenzangu