Tafadhali wadau naomba mwenye kuufahamu mmea unaoitwa Mnanaa au kwa kiingereza unaitwa 'Mint" nina uhitaji nao sana hususani majani yake, kwani yanasafisa figo nami nina tatizo hilo.
Tafadhali kwa uungwana wa kipekee naomba mwenye kuufahamu unapopatikana aniline kwa njia yoyote hasahasa " ndani ya box"
Tafadhali kwa uungwana wa kipekee naomba mwenye kuufahamu unapopatikana aniline kwa njia yoyote hasahasa " ndani ya box"