acleyfrancis
Member
- Jan 31, 2017
- 33
- 44
Ngoja niweke Kambi hapa nina jambo langu zitoWakuu tushirikishane experience ya biashara ya wakala wa Banks na Mitandao ya simu. rewards yake, net Capital, Changamoto zake.
Mzoefu tafadhari
Nasubir hii kambi hapaNgoja niweke Kambi hapa nina jambo langu zito
Uwe na capital ya kutosha sio kuunga unga, na uangalie eneo ulilopo mzunguko wa biashara upo.Wakuu tushirikishane experience ya biashara ya wakala wa Banks na Mitandao ya simu. rewards yake, net Capital, Changamoto zake.
Mzoefu tafadhari
Na reward yake ikoje kaka ... huwa ni ya kutosha? ..Uwe na capital ya kutosha sio kuunga unga, na uangalie eneo ulilopo mzunguko wa biashara upo.
Hata kama kutakuwa na waliokutangulia, ukiwa na mtaji mkubwa utaona faida. Usiuze hakuna.
ni kwamba miamala michache kaka .. au changamoto ni nini tushirikishanenimefungua mpesa mwananyamala mwezi huu kiukweli hali ya biashara inanikatisha tamaa
Sasa Boss umefungua mwezi huu tu Kisha unalaumu hapo vumilia miezi 6 ndio unaanza kumudu gharama za uendeshajinimefungua mpesa mwananyamala mwezi huu kiukweli hali ya biashara inanikatisha tamaa
Kama ni m.pesa pekee usemacho kinachangiwa na kampuni kupunguza kamisheni. Unakuta muamala wa 20,000 unapewa 230 nayo itakutana na makato ya kodi hadi mwisho wa mwezi inauma!ni kwamba miamala michache kaka .. au changamoto ni nini tushirikishane