Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Dah wa nyumbani nini kimekupata?Najua ujumbe wako unaweza kuwa na ukweli ndani yake lakini kuwaita wenzako nyumbu inafikirishaNdo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?
MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi
Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless
Republic of nyumbu.
ameshawauza manyumbuNamuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
watz hamuamin kweny muda ,mnapenda mamb ya kuja na kutoa matokeo hapo kwa hapoMeja wa kuchaji
Unamzungumziaje yule aliyeengua washindani wake, na kufanya mauaji ya halaiki, kisha kuweka familia, ndugu na jamaa zake madarakani. Huyo ametuonaje?Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?
MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi
Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless
Republic of nyumbu.
Ingia liveNamuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
Nyumbu ni yule anayeamini kuwa maisha ya binadamu yanalingana ama hayana thamani kuliko basi la mwendokasi...Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?
MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi
Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless
Republic of nyumbu.
U- CCM ni matendo na wala si kumiliki kadi ya uanachama wa CCM. Maandiko yako yanasawiri akili na utashi wa mtu anayeiunga mkono CCM.Mimi sio CCM mkuu Ila nimekuambia ukweli
Kwani usipokuwa mwana ccm ndo ukose ujinga?Mimi sio CCM mkuu Ila nimekuambia ukweli
Kwani usipokuwa mwana ccm ndo ukose ujinga?
Mbona kuna wapumbavu wengi tu ambao pia si wana CCM
Wewe pia ni miongoni mwao
Lakini alikuwa anaongea vitu vya kweli kabisa au wamempoteza,kumteka au kumuuwa?
😂😂😂Eti meja wa kuchajiMeja wa kuchaji
Mkuu ushaacha utapeli?Mimi sio CCM mkuu Ila nimekuambia ukweli
I'm the guy with strict code , ONESHA icho kitu nimekutapeliMkuu ushaacha utapeli?
Umejuaje?Walimfikia mama ake akampa onyo…anyway ataibula mwengine tujipe mda