Rostam alisafiri kwenda ughaibuni sijui alienda kumtafuta? Maana kuna tetesi za kutumia Warusi kumpata Habil & Kabil!Lakini alikuwa anaongea vitu vya kweli kabisa au wamempoteza,kumteka au kumuuwa?
Ndio maana amekaa kimya?Rostam alisafiri kwenda ughaibuni sijui alienda kumtafuta? Maana kuna tetesi za kutumia Warusi kumpata Habil & Kabil!
Ahaaa - kwahiyo mnataka watu wote tuwe na mawazo yanayofananaU- CCM ni matendo na wala si kumiliki kadi ya uanachama wa CCM. Maandiko yako yanasawiri akili na utashi wa mtu anayeiunga mkono CCM.
Nyie mnaamini Sana propagandaRostam alisafiri kwenda ughaibuni sijui alienda kumtafuta? Maana kuna tetesi za kutumia Warusi kumpata Habil & Kabil!
May be anatengeneza mazingira salama zaidi....kwenye live zake alisemea hao Warusi kupewa kibunda wammalize.Ndio maana amekaa kimya?
Huko huko tiktok jana asubuhi walikua wanamuongelea mama ake yuko kwenye program ya matibabu ya samiah huko zenji!Umejuaje?
Ccm haitotoka madarakani mpaka kizazi cha wajinga kiishe chote ambayo ni kuanzia 20100Kwa akili hizi za kumuona huyo Habili shujaa ndo muweze kuitoa CCM madarakani?
😭😭😭😭
Kumbuka kete zinasukumwa kwa akili kubwa sanaMbona humuulizii Augustino?
yaani unaamini kweli ali hack mifumo ya serikali ?mhivi unadhania ni rahisi kama kuiba baiskeli ?Lakini alikuwa anaongea vitu vya kweli kabisa au wamempoteza,kumteka au kumuuwa?
kuna baadhi ya watu na matendo yao maisha yao ni hasara , yaani kuwa hai tu ni hasara kuliko hata side mirror ya IST , kwa sababu hana reasoning kabisa ya kujua mema na mabaya kitu ambacho ndo neema pekee mungu katupa tofauti na wanyamaNyumbu ni yule anayeamini kuwa maisha ya binadamu yanalingana ama hayana thamani kuliko basi la mwendokasi...
Ukweli aliivuruga movement lakini ukweli unabakia suala siyo followers bali nchi hii wasema ukweli wanachukiwa na watawala. Matokeo yake wanaishi maisha ya kujificha.
Ile ID ya manfried bado unaitumia?I'm the guy with strict code , ONESHA icho kitu nimekutapeli
Nyie NYUMBU mna mental illness
Dah wa nyumbani nini kimekupata?Najua ujumbe wako unaweza kuwa na ukweli ndani yake lakini kuwaita wenzako nyumbu inafikirisha
Anyway,watu wako desperate ndio maana kila mtu kwao wanaona ni mkombozi(as long as anasema wachopenda au anawapa tumaini)
Ki ukweli watu wamekata tamaa ndio maana wako hivyo.Serikali ina kazi kubwa kurejesha tumaini kwa watu
Kwa hiyo alihack Bot na kufreeze ATM?Lakini alikuwa anaongea vitu vya kweli kabisa au wamempoteza,kumteka au kumuuwa?
Nyumbu ni yule anayeamini kuwa maisha ya binadamu yanalingana ama hayana thamani kuliko basi la mwendokasi...
Ukweli aliivuruga movement lakini ukweli unabakia suala siyo followers bali nchi hii wasema ukweli wanachukiwa na watawala. Matokeo yake wanaishi maisha ya kujificha.
Kwanza kwa nini ulihisi watapata madhara makubwa... Jee uliona watakuwa wamestahili kwa madhara ambayo wangeyapata kama wangeandamana?Mimi niliongea hapa kuwa 29/10 vijana wasithubutu kuandamana kwakuwa wanaweza kupata madhara makubwa .
Kwanza kwa nini ulihisi watapata madhara makubwa... Jee uliona watakuwa wamestahili kwa madhara ambayo wangeyapata kama wangeandamana?
Hii hoja kwamba watu tunataka wote tuwe na mawazo yanayofanana huoni kama Iko zaidi kwenu nyinyi mnayoiunga mkono Serikali?
Wewe ungesikia vijana wa CCM wanataka kuandamana kumuunga mkono Samia ungetoa tahadhari hiyo Kwa vijana waliokuwa wanaandamana kumpinga Samia?
Jee hiyo tabia ya CCM ya kutokutaka kutoa dola Kwa njia ya kidemokrasia ni halali?Mimi - nilichambua haya maandamano kwa kuangalia maslahi ya VIJANA haijalishi CCM au GEN Z.
Niliweka uchambuzi kwakutumia my instincts (gut)
Kuwa CCM inapofika wakati wa uchaguzi wanaweza kakupa Kila kitu na sio dola.
Nikasema kuandamana wakati wa Uchaguzi itawafanya wapanic na kutumia nguvu kubwa ambayo itapelekea mauaji makubwa .
Nilishare taarifa hii X (Twitter) tarh 28/10 Ahsubui .
Nasikitika waliniita CHAWA na wakasema Jeshi lipo upande wa raia litawalinda.
Mimi niliamua kuacha mambo yaende autopilot Ila ndugu zangu VIJANA waliokuwa DSM na mikoa yenye tension niliwaambia wachukue tahadhari Mapema.