Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?

MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi

Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless

Republic of nyumbu.
Kama unadhani ni rahisi na wewe fanya. Nashangaa unavyo dogesha kama ni rahisi kuwa na wewe uwaambie mbogamboga ndo kila kitu
 
Mimi movement yangu inasema hivi
"Don't play someone's game "
Wale Askari walioua walikuwa wanacheza gemu Yao? Wao wamefaidika vipi na kilichotokea?

Kwa nini unadhani Gen Z wenyewe hawana aina ya Tanzania wanayoitaka hivyo wakaona waipiganie? Na jee Gen Z wanaotetea watawala nao wanacheza gemu ya nani?
 
Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?

MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi

Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless

Republic of nyumbu.
Kunywa maji, pumzika kidogo!
 
Wale Askari walioua walikuwa wanacheza gemu Yao? Wao wamefaidika vipi na kilichotokea?

Kwa nini unadhani Gen Z wenyewe hawana aina ya Tanzania wanayoitaka hivyo wakaona waipiganie? Na jee Gen Z wanaotetea watawala nao wanacheza gemu ya nani?
Kama umenisoma nimesema nataka movement hii ifike mpaka katika security agency
 
Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?

MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi

Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless

Republic of nyumbu.
Nyumbu mama yako kahaba ailyekuzalia kwenye choo cha danguro mwanaharamu wewe
 
Sawa , je ni sahihi VIJANA kuandamana ?
Swali LA kipumbavu Kabisa linadhihirisha upumbavu wako na udumavu wa akili ,kwa hiyo wewe unadhani maandamano ni Huruma au ruzuku toka kwa watawala uchwara ,maandamano ni haki ya RAIA na sio ombi na wala haifai kuwa kuwa fadhila za watawala uchwara. Mpumbavu Kama wewe hujui kwamba maandamano ni haki ya kikatiba hata hii katiba mbovu inatoa haki ya maandamano ,then unajadili nii hapa kama si kujaza servers kwa kuandika upuuzi
 
We boya ,hizo pesa za ford foundation ulimlipa wewe ?
 
We boya ,hizo pesa za ford foundation ulimlipa wewe ?
Ukitaka kuficha UBOYA wako, TAFITI kabla hujaandika! Kama hujui kusoma Kingereza, OMBA UTAFSIRIWE.
Tembelea KWANZA tovuti ya Ford Foundation, fungua database UTOE UJINGA! Hizo elfu 2 unazopewa kuwa mpambe wa Maria zimekupumbaza sana Jinga la mwisho!!
 
Unamzungumziaje yule aliyeengua washindani wake, na kufanya mauaji ya halaiki, kisha kuweka familia, ndugu na jamaa zake madarakani. Huyo ametuonaje?
Ulikuw ukitumaini hekaya za Habil zitakua kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Zamani ukitumia ile ID ya kula kwa Tindo nilikuchukuliaga serious sana kumbe una akili za kitoto.
 
Ulikuw ukitumaini hekaya za Habil zitakua kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Zamani ukitumia ile ID ya kula kwa Tindo nilikuchukuliaga serious sana kumbe una akili za kitoto.
Huyo Habil kwanza ww ndio unamjua, huwa sifuatilii story za hao watoto.

Nasikitika kuchukuliwa serious na ww mfuasi wa Mbowe.
 
Tusigeneralize kwa kusema CCM. Sasa hivi hakuna CCM, kuna kikundi cha Huyu Mama, mtoto wake, mkwe, ex president na wafanya biashara wachache. Tusilaumu CCM, hiyo haipo tena.
 
Huyu jamaa alikuwa anapanda mbegu ya mapinduzi kwa vijana na alikuwa anawapa nguvu ya kujiamini dhidi ya watawala wezi wa rasilimari za inchi,kokote aliko tunamuitaji
Kama Kinjekitile Ngwale na Vita ya Majimaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…