Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dusheMwanamke mzuri ni Tabia
na Mwanaume mzuri je???
[emoji23] [emoji23]Pesa za kubadilishia mboga au?
Mwanamke mzuri ni Tabia
na Mwanaume mzuri je???
Kwan unataka kuwa dancer?Msingi kiuno show show
Pesa [emoji736]Mwanamke mzuri ni Tabia
na Mwanaume mzuri je???
No.3 nimeipenda zaidiMwanaume uwe na mambo matatu
1. Pesa
2. Kwenye bed uwe mtaalam
3. Akili(busara) ya kuishi na mwanamke.
Ukiweza hayo kazi imeisha 100%